​Na ukimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi na Pepo (ambayo) upana wake."

​Na ukimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi na Pepo (ambayo) upana wake."

​Na ukimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi na Pepo (ambayo) upana wake."

159 153

Na ukimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi na Pepo (ambayo) upana wake ni mbingu na ardhi, iliyoandaliwa kwa ajili ya wacha Mungu 

(Wacha Mungu) Ambao wanatoa (katika vile walivyopewa na Allah) katika hali ya wasaa na katika hali ya dhiki, na wenye kuzuia hasira (zao) na kusamehe watu (wanaowakosea). Na Allah anawapenda wafanyao mazuri

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates