​Kuwa miongoni mwa wale ambao wanalipiza ubaya kwa wema.."

​Kuwa miongoni mwa wale ambao wanalipiza ubaya kwa wema.."

​Kuwa miongoni mwa wale ambao wanalipiza ubaya kwa wema.."

28 10

Mema na maovu hayalingani.

Kuwa miongoni mwa wale ambao wanalipiza ubaya kwa wema. Huwenda adui yako akabadilika na kuwa rafiki yako kipenzi. Na haya hawayafikii ila walio na subira na wenye bahati kubwa.

Tunajifunza kuwa:

Wema na subira ni katika tabia njema za Uislamu

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki