“Na pia katika nafsi zenu, je hamwoni?
Tazama kadi
Baada ya kuisha mashindano na makelele, mwanaadam hubaki peke yake pamoja na moyo wake tu(kifo), na wakati huo maswali kuhusu ukweli wa maisha yake aliyo yaishi dunini huanza
“Hakika kwa kumkumbuka Allah ndio nyoyo hutua!”.
“Na hakika tumewatukuza wanaadam
“Je! Mlidhani ya kwambatulikuumbeni bure tu
Ulimwengu unawafauatilia wachezaji katika kombe la dunia. Lakini Qur’an inakutaka ujiangalie wewe mwenyewe kwanza.
Nyuma ya nguvu tunazoziona kwenye michezo mbali mbali, kuna mwanadam anaye choka na kuwa na hofu na kudhoofika. Na Qur’an inamzungumzia mwanadam katika hali ukweli na huruma kuhusu maumbile yake.