​Qur’an ni nuru inayo kuongoza katika njia sahihi,."

​Qur’an ni nuru inayo kuongoza katika njia sahihi,."

​Qur’an ni nuru inayo kuongoza katika njia sahihi,."

61 11

Qur’an ni nuru inayo kuongoza katika njia sahihi, na kukuahidi kupata malipo bora ikiwa utatenda mema.

Basi, ufanye mfumo wa maisha yako uwe unatokana na maelekezo yake, kwani utukufu unapatikana kwa kuifuata.

Tunajifunza kuwa:

Qur’an ndiyo mfumo bora wa maisha na njia iliyo nyooka.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki