​Allah amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema,

​Allah amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema,

​Allah amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema,

141 130

Allah amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema, ya kwamba atawafanya makhalifa (viongozi) katika ardhi kama alivyo wafanya makhalifa waliokuwa kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia Dini yao aliyo wapendelea, na atawabadilishia amani baada ya khofu yao. Wawe wananiabudu Mimi, wala hawanishirikishi na chochote. Na watakao kufuru baada ya hayo, basi hao ndio wapotovu

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates