​Qur’an ndiyo njia yako ya kukufikisha katika maisha mazuri, ."

​Qur’an ndiyo njia yako ya kukufikisha katika maisha mazuri, ."

​Qur’an ndiyo njia yako ya kukufikisha katika maisha mazuri, ."

272 25

Qur’an ndiyo njia yako ya kukufikisha katika maisha mazuri, inayokuongoza kwenye njia sahihi, na kukubashiria kupata malipo makubwa.

Basi, shikamana nayo ili upate utukufu na mafanikio.

Tunajifunza kuwa:

Muongozo wa Qur’an ndiyo wenye malipo makubwa.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki