Ingia katika Uislamu kwa moyo wako na mwili wako, na jiepushe na nyayo za Shetani, kwani ni adui yako aliye wazi.
Ufanye Uislamu kuwa ndiyo mfumo wako katika maisha.
Tuanjifunza kuwa:
Uislamu wa moyo, ni njia ya kudumisha amani duniani.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi