Tunapopatwa na changamoto, na kumtegemea Allah kwa kumuomba.."

Tunapopatwa na changamoto, na kumtegemea Allah kwa kumuomba.."

Tunapopatwa na changamoto, na kumtegemea Allah kwa kumuomba.."

20 11

Tunapopatwa na changamoto, na kumtegemea Allah kwa kumuomba Yeye kwa utakaso (Ikhlaswi), basi faraja yake huja haraka bila ya kutegemea.

Lakini jambo jema ni kutekeleza shukurani kwa kumuabudu Allah baada ya wokovu na kutozama katika uovu na ujeuri.

Tunajifunza kuwa:

Kutimiza wajibu ni kumshukuru Allah.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki