​Mapambo ya dunia hii yamezungukwa na mapenzi ya mali,"

​Mapambo ya dunia hii yamezungukwa na mapenzi ya mali,"

​Mapambo ya dunia hii yamezungukwa na mapenzi ya mali,"

18 14

Mapambo ya dunia hii yamezungukwa na mapenzi ya mali, watoto na kuwa na nguvu. Lakini vyote hivyo ni starehe yenye kuisha.

Kuhangaikia vilivyo kwa Allah ndiyo lengo kuu, na marejeo bora ya akhera na mafanikio makubwa.

Tunajifunza kuwa:

Akhera ni bora kuliko dunia isiyo dumu.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki