Kufuata matamanio ya nafsi inaweza kuwa sababu ya upotofu, basi usiisahau siku ya hesabu (siku ya kiyama).
Ishi maisha yako yote kwa kuafikiana na yale anayo yaridhia Allah, ili ufanikiwe katika dunia na akhera.
MAZINGATIO:
Zingatia sana maisha ya akhera ili upate uongofu
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi