Katika kipindi ambacho​ mtu anafikiwa na kifo,"

Katika kipindi ambacho​ mtu anafikiwa na kifo,"

Katika kipindi ambacho​ mtu anafikiwa na kifo,"

127 113

 Katika kipindi ambacho mtu anafikiwa na kifo, hutamani kurudishwa duniani ili afanye matendo mema, lakini wapi, hakuna tena muda wa kupewa kwa ajili ya tamaa hiyo.

Muda ni wa thamani,usisubiri kutenda mema mpaka kiama kikukute.

MAZINGATIO:

Toba ina muda wake, tumia fursa hiyo haraka kabla ya kuisha

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates