Jitazame kwenye moyo wako, hofu yako na katika maswali muhimu ambayo hakuna yeyote anaye kuona wakati unapo jiuliza, hapo utapata majibu sahihi ya kutambua lengo la kuumbwa kwako na uwezo wa Allah juu yako.
Sehemu ya pili:
Katika msongamano wenye watu wengi, ipo sauti ya ndani ya moyo isiyosikiwa na yeyote isipokuwa wewe tu.
Qur’an inaizungumzia sehemu hii muhimu kwa mwanaadam katika hali ya mazingatio makubwa sana
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi