​ Hawa wagomvi wawili walio gombana kwa ajili ya Mola wao Mlezi."

​ Hawa wagomvi wawili walio gombana kwa ajili ya Mola wao Mlezi."

​ Hawa wagomvi wawili walio gombana kwa ajili ya Mola wao Mlezi."

17 11

 Hawa wagomvi wawili walio gombana kwa ajili ya Mola wao Mlezi. Basi walio kufuru watakatiwa nguo za moto, na yatamiminwa juu ya vichwa vyao maji yanayo chemka(20)Kwa maji hayo vitayayushwa viliomo matumboni mwao, na ngozi zao pia(21)Na kwa ajili yao yatakuwapo marungu ya chuma(22)Kila wakitaka kutoka humo kwasababu ya uchungu watarudishwa humo humo, na wataambiwa: Onjeni adhabu ya kuungua!

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki