Lau katika uma zilizo pita kusingekuwa na watu wanao kataza uovu katika miji, basi wange angamizwa wote, lakini Allah aliwaokoa wachache miongoni mwao ambao walikuwa wakikataza maovu.Ewe Allah!
Tujaalie katika wenye kufanya vizuri.
MAZINGATIO:Umuhimu wa kufanya mema na kukataza maovu.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi