Allah Mtukufu ametuumba mataifa na makabila mbali mbali."

Allah Mtukufu ametuumba mataifa na makabila mbali mbali."

Allah Mtukufu ametuumba mataifa na makabila mbali mbali."

5 2

Allah Mtukufu ametuumba mataifa na makabila mbali mbali ili tujuane sisi kwa sisi.

Kutofautiana kimaumbile na kimaeneo ni neema, na si sababu ya kutengana. Bali iwe ni msingi wa kuboresha mahusiano yetu kwa kuheshimiana na kutambuana.

Tunachojifunza:

Kuishi pamoja kwa amani, na kuthaminiana kibinaadamu ni katika Uislamu.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki