Akasema: Ondokeni humu nyote, hali ya kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi."

Akasema: Ondokeni humu nyote, hali ya kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi."

Akasema: Ondokeni humu nyote, hali ya kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi."

131 92

Akasema: Ondokeni humu nyote, hali ya kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Na ukikufikieni uongofu kutoka kwangu basi atakaye ufuata uongofu wangu, hatapotea wala hatataabika

Na atakae jiepusha na mawaidha yangu, basi kwa yakini atapata maisha yenye dhiki, na Siku ya Kiyama tutamfufua hali ya kuwa ni kipofu

Aseme: Ewe Mola wangu Mlezi! Mbona umenifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona?

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates