Si jukumu lako kuwaongoa, lakini Allah humuongoa amtakaye.

Si jukumu lako kuwaongoa, lakini Allah humuongoa amtakaye.

Si jukumu lako kuwaongoa, lakini Allah humuongoa amtakaye.

73 53

Si jukumu lako kuwaongoa, lakini Allah humuongoa amtakaye. Na heri yoyote muitoayo, basi ni kwa (manufaa ya) nafsi zenu. Na msitoe ila kwa kutafuta wajihi (radhi) za Allah, na heri yoyote mtakayotoa mtarudishiwa kamili, nanyi hamtadhulumiwa

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates