Allah anapojaalia ndani ya nyoyo kukawa kuna upendo na huruma, basi nyumba huwa ni pepo ndogo duniani.
Upendo katika Uislamu si tabia tu ya kuzuka, bali ni alama kubwa miongoni mwa alama za Muumbaji.
MAZINGATIO:
Upendo wa dhati huleta utulivu wa nafsi.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi