Majibu mazuri hayatoki isipokuwa kwenye nafsi yenye heshima kubwa na subira kubwa.
Mtu anapo shikamana na adabu hizo, humfanya avuke vizingiti vya uadui na kufikia kwenye kilele cha utu wa hali ya juu.
MAZINGATIO:
Adabu ya majadiliano ni kueneza amani.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi