Uhuru wa kweli ni wewe kuwa huru na utumwa wa kuwadhalilikia viumbe."

Uhuru wa kweli ni wewe kuwa huru na utumwa wa kuwadhalilikia viumbe."

Uhuru wa kweli ni wewe kuwa huru na utumwa wa kuwadhalilikia viumbe."

13 7

Uhuru wa kweli ni wewe kuwa huru na utumwa wa kuwadhalilikia viumbe na fikra potofu, na kisha ukamuamini Allah peke yake.

Unapomkufuru shetani na kumuamini Muumbaji, unakuwa umeshikamana na kamba madhubuti isiyo katika.

MAZINGATIO:

Uhuru wa nafsi ni kuwa na imani ya Allah.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki