Uhuru wa kweli ni kujitenga na utumwa wa dunia kwa kuelekea kwenye rehema za Allah.
Amesema Allah Mtukufu: “Basi kimbilieni kwa Allah”.
Basi, hakuna sehemu ya kuukimbilia uhuru isipokuwa kwake tu.
MAZINGATIO:
Kimbilia kwa Allah ili upate uhuru wa nafsi
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi