Uhalisia wa mambo utakapo bainishwa baada ya muda wake kufika, haitobakia kwa mtu ila ni majuto tu.
Kumbuka kuwa imani haitomfaa mtu baada ya muda wa kufanya matendo kuisha, fanya haraka kutenda mema kabla hujasema: “Najuta, laiti ninge……”
MAZINGATIO:
Kumbuka maisha ya baada ya kifo
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi