Kuna siku itakayo tokea ndani yake mambo ambayo mtu hajawahi."

Kuna siku itakayo tokea ndani yake mambo ambayo mtu hajawahi."

Kuna siku itakayo tokea ndani yake mambo ambayo mtu hajawahi."

13 9

Kuna siku itakayo tokea ndani yake mambo ambayo mtu hajawahi

kufikiria kuwa yatatokea, kipindi cha watu watakapo fufuliwa kutoka makaburini mwao na kuanza kuuliza: “Nani aliye tufufua?

Kukumbuka nguvu za Allah na uwezo wake katika siku ambayo majuto hayatomfaa mtu, hili ni jambo muhimu sana.

MAZINGATIO:

 Ni muhimu kuamini siku ya kiama na kufufuliwa

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki