Allah atawafufua wafu wote kwa wakati mmoja, na ahadi yake ya kweli isiyokwenda kinyume itatubainikia.
Basi, ni muhimu kwa sasa(hapa duniani) tuwe makini kuangalia matendo yetu kabla ya kufikiwa na siku hiyo nzito.
MAZINGATIO:
Kuikumbuka ahadi ya akhera ni jambo muhimu sana.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi