​Kuwalea Watoto katika maadili ya kuomba idhini ya kuingia majumbani ."

​Kuwalea Watoto katika maadili ya kuomba idhini ya kuingia majumbani ."

​Kuwalea Watoto katika maadili ya kuomba idhini ya kuingia majumbani ."

28 14

Kuwalea Watoto katika maadili ya kuomba idhini ya kuingia majumbani tangu utotoni mpaka kubaleghe kwao kunaleta kuwa na tabia ya kuona aibu daima, na kuzilinda nyumba kutokana na fujo, na kujaalia heshima kutawala katika nafsi.

MAZINGATIO:

Malezi ya kiislamu ni moja wapo ya kudumisha matukufu ya heshima

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki