​Uislamu umetufundisha kuwa nyumba zina nyakati ."

​Uislamu umetufundisha kuwa nyumba zina nyakati ."

​Uislamu umetufundisha kuwa nyumba zina nyakati ."

27 18

Uislamu umetufundisha kuwa nyumba zina nyakati maalumu za kuingia ndani yake,

Hata Watoto ina takiwa walelewe katika kuziheshimu.

Kumfundisha adabu mtoto ni moja wapo ya kujenga jamii safi, inayo linda aibu na sitara.

MAZINGATIO:

Adabu za nyumba ni matukufu ya Uislamu

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki