​Kutofautiana watu kwa rangi na nasabu sio sababu ya kuzidiana."

​Kutofautiana watu kwa rangi na nasabu sio sababu ya kuzidiana."

​Kutofautiana watu kwa rangi na nasabu sio sababu ya kuzidiana."

24 16

Kutofautiana watu kwa rangi na nasabu sio sababu ya kuzidiana au kutengana. Bali ni njia tu ya kujuana na ukamilifu.

Kipimo cha kweli cha utukufu ni usafi wa moyo na uchamungu tu.

MAZINGATIO:

Thamani ya utu ni kutambua usawa

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki