​Mapambo ya dunia yana fanana na mmea ambao unavutia."

​Mapambo ya dunia yana fanana na mmea ambao unavutia."

​Mapambo ya dunia yana fanana na mmea ambao unavutia."

25 16

Mapambo ya dunia yana fanana na mmea ambao unavutia machoni kwa muda, kisha unakauka haraka.

Usiufanye umri wako kuangamia kwa vitu vyenye kupita, bali tafuta yatakayo baki nawe baada ya kuondoka katika haya maisha ya dunia.

MAZINGATIO:

Tuchukue mazingatio katika haya maisha yanayo ondoka

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki