Adui mkubwa si yule anaye gombana nawe duniani, bali ni yule anaye taka kukupotosha katika njia ya Allah.
Kulizingatia jambo hili muhimu kutabadilisha vipaumbele vyako, na kuulinda moyo wako kutojisahau kufanya yale yenye manufaa nawe katika maisha ya milele.
MAZINGATIO:
Kuzinduka kwa roho ni njia ya kuokoka
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi