Qur’an husomwa ili kuzifundisha nyoyo maadili mema.
Na Sala husimamishwa ili kuzisafisha nafsi ziwe na tabia njema.
Basi, mwenye kudumisha mafungamano yake na Mola wake Mlezi, atapata ulinzi wake wa kutokuwa na maadili mabaya.
MAZINGATIO:
Athari ya Sala katika maisha ya mtu na jamii
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi