Allah mtukufu amemchagua Binadamu kuwa ni Khalifa (Kiongozi) katika ardhi, licha ya kuonekana na baadhi ya viumbe kuwa ni muovu.
Lakini ujuzi wa Allah ni mpana sana na sisi hakuna tulijualo katika ujuzi wa Allah ila kwa msaada wake.
MAZINGATIO:Tunu ya ukhalifa wa dunia hii ni kupewa elimu.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi