Na Waumini wanaume na Waumini wanawake ni marafiki

Na Waumini wanaume na Waumini wanawake ni marafiki

Na Waumini wanaume na Waumini wanawake ni marafiki

22 13

Na Waumini wanaume na Waumini wanawake ni marafiki (wa kusaidiana na kuungana mkono katika kheri) wao kwa wao. 

Wanaamrisha mema na wanakataza maovu na wanasimamisha Swala na wanatoa Zaka na wanamtii Allah na Mtume wake.

 Hao Allah atawashushia rehema. 

Hakika, Allah ni Mwenye nguvu mno, Mwenye hekima sana

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki