Wanafiki wanaume na wanafiki wanawake; wote ni hali moja (wanafanana katika unafiki na kutoamini).
Wanaamrisha maovu na wanakataza mema na wanakunja mikono yao (kwa kukataa kutoa katika njia za heri).
Wamemsahau Allah, basi naye amejifanya amewasahau (amewaacha na unafiki wao).
Hakika, wanafiki ndio waovu hasa
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi