​Uadilifu hauhitaji mtu kuwa na cheo, bali ni tabia njema."

​Uadilifu hauhitaji mtu kuwa na cheo, bali ni tabia njema."

​Uadilifu hauhitaji mtu kuwa na cheo, bali ni tabia njema."

19 11

Uadilifu hauhitaji mtu kuwa na cheo, bali ni tabia njema iliyo ndani ya moyo ulio hai.

Na majukumu ya kijamii hayawezi kukamilika ipasavyo, ila kwa kufikisha amana kama inavyo takiwa.

Hivyo basi, jilazimishe kuwa muadilifu, mwaminifu ili uwe karibu na nyoyo za viumbe na uwe karibu na haki

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki