​Na kwa yakini kabisa, tumemuumba mtu kutokana na asili ya udongo"

​Na kwa yakini kabisa, tumemuumba mtu kutokana na asili ya udongo"

​Na kwa yakini kabisa, tumemuumba mtu kutokana na asili ya udongo"

299 92

Na kwa yakini kabisa, tumemuumba mtu kutokana na asili ya udongo (halisi)(13)Kisha tukamjaalia awe tone la mbegu ya uzazi iliyokaa katika (sehemu) madhubuti(14)Kisha tukaliumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates