​Katika safari na jihadi, Allah ameruhusu kufupisha sala, kwa lengo."

​Katika safari na jihadi, Allah ameruhusu kufupisha sala, kwa lengo."

​Katika safari na jihadi, Allah ameruhusu kufupisha sala, kwa lengo."

13 8

Katika safari na jihadi, Allah ameruhusu kufupisha sala, kwa lengo la waumini kujilinda na maudhi ya makafiri. Na hii ni rehema ya Uislamu inayo dhihiri katika kuwepesisha ibada katika kipindi kigumu.

Tunajifunza kuwa:

Kuwepesishwa sala wakati wa dhiki ni huruma ya Uislamu.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki