​Maisha ya dunia yana onekana wazi kwa mambo ya kupumbaza na upuuzi."

​Maisha ya dunia yana onekana wazi kwa mambo ya kupumbaza na upuuzi."

​Maisha ya dunia yana onekana wazi kwa mambo ya kupumbaza na upuuzi."

157 147

Maisha ya dunia yana onekana wazi kwa mambo ya kupumbaza na upuuzi. Lakini mwisho wake ni kama mwisho wa mazao ambayo huishia kuwa mabua!

Kumbuka!

Akhera ndio inayo dumu, ima kupata msamaha na radhi za Allah au kupata adhabu kali.

Tunajifunza kuwa:

Dunia ni starehe zenye kudanganya, na akhera ndio bora.

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates