​Dunia si chochote ila ni mchezo, na upuuzi na mapambo wanayo."

​Dunia si chochote ila ni mchezo, na upuuzi na mapambo wanayo."

​Dunia si chochote ila ni mchezo, na upuuzi na mapambo wanayo."

12 7

Dunia si chochote ila ni mchezo, na upuuzi na mapambo wanayo jifakharisha nayo watu, na kukithirisha mali na watoto. Mfano wake ni kama mazao yanayo mea na kukauka na hatimaye mtu akajisahau na kujikuta hana kitu huko akhera.

Malipo ya huko, ima ni adhabu au msamaha na radhi kutoka kwa Allah.

Tunajifunza kuwa:

Dunia haidumu, na akhera ndio inayo dumu.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki