Waumini wasiokuwa na udhuru wowote waliokaa (kwa kuacha kwenda."
Waumini wasiokuwa na udhuru wowote waliokaa (kwa kuacha kwenda vitani) hawawi sawa na wale wanaopigana Jihadi katika njia ya Allah kwa mali zao na nafsi zao. Allah amewafanya bora zaidi kwa daraja wanaopigana Jihadi kwa mali zao na nafsi zao kuliko wanaokaa. Na wote Allah amewaahidi mazuri (Pepo)[1]. Na Allah amewafanya bora zaidi wanaopigana Jihadi kuliko wanaokaa kwa ujira mkubwa kabisa
159
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo