Ali Jaber
Mema na maovu hayalingani. Pinga uovu kwa lilio jema zaidi."
Mema na maovu hayalingani. Pinga uovu kwa lilio jema zaidi. Hapo yule ambaye baina yako na baina yake pana uadui atakuwa kama rafiki jamaa wa kukuonea uchunguLakini hawapewi wema huu ila wanao subiri, wala hawapewi ila wenye bahati kubwa
818