​Enyi miloamini, kuweni wasimamizi (wa haki) kwa ajili ya Allah,"

​Enyi miloamini, kuweni wasimamizi (wa haki) kwa ajili ya Allah,"

Enyi miloamini, kuweni wasimamizi (wa haki) kwa ajili ya Allah, mtoao ushahidi kwa uadilifu. Na kuwachukia (watu) kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu (kwa watu wote). Hilo ndilo lililo karibu zaidi (kufikisha) kwenye uchamungu. Na mcheni Allah. Hakika, Allah anayajua mnayoyatenda

843
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Video zenye uhusiano

Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo

icon

Shiriki