Hakika, Allah anakuamrisheni kurudisha amana kwa wenyewe,"
Hakika, Allah anakuamrisheni kurudisha amana kwa wenyewe, na mnapo hukumu baina ya watu mhukumu kwa uadilifu. Hakika, mazuri mno anayokuwaidhini Allah ni hayo. HakikaAllah ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kuona
740
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo
