​Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri)."

​Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri)."

Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri). Hakika, sisi tumerejea kwako. (Allah) Akasema: Adhabu yangu ninamlenga nimtakaye, na rehema yangu imekienea kila kitu. Basi nitaiandika (hiyo rehema yangu) kwa ambao wanamcha Allah na wanaotoa Zaka na (kwa) wale ambao Aya zetu wanaziamini

84
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Shiriki