Enyi mlioamini, yeyote ataka-yeritadi miongoni mwenu kwa kuiacha."
Enyi mlioamini, yeyote ataka-yeritadi miongoni mwenu kwa kuiacha Dini yake (ya Uislamu), basi Allah ataleta watu anaowapenda nao wanampenda, wanyenyekevu mno kwa waumini (wenzao) na wenye nguvu sana mbele ya makafiri, wanapigania Jihadi katika Njia ya Allah, na hawaogopi lawama za mwenye kulaumu. Hizo ni fadhila za Allah humpa amtakaye. Na Allah ni Mkunjufu, Mwenye kujua sana
3017
Related Videos
See other videos from same category