Na watasema wale walio-shirikisha (Miungu mingine na Allah):"

Na watasema wale walio-shirikisha (Miungu mingine na Allah):"

Na watasema wale walio-shirikisha (Miungu mingine na Allah): Laiti kama Allah angali-penda, tusingeabudu chochote badala yake, sisi na Baba zetu, na tusingeharamisha chochote (ambacho Allah hakukiharamisha). (Hoja) kama hizi walizitoa wale waliokuwa kabla yao. Basi si kazi ya Mitume isipokuwa kufikisha (ujumbe) waziwazi

52
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Video zenye uhusiano

Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo

icon

Shiriki