Na wale wanao jiepusha na ibada potovu, na wakarejea kwa Allah,
Na wale wanao jiepusha na ibada potovu, na wakarejea kwa Allah, watapata bishara njema. Basi wabashirie waja wangu
Ambao husikiliza maneno, wakafuata lilio bora. Hao ndio alio waongoa Allah, na hao ndio wenye akili
1
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo