Ee ole wangu! Laiti nisingeli mfanya fulani kuwa rafiki!"
Ee ole wangu! Laiti nisingeli mfanya fulani kuwa rafiki!
Amenipoteza, nikaacha Ukumbusho, baada ya kwisha nijia, na kweli Shet’ani ni khaini kwa mwanaadamu
Na Mtume alikuwa akisema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wameifanya hii Qur’ani ni yenye kuhamwa
739
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo