​Siku utakayowaona Waumini wa kiume na Waumini wa kike,"

​Siku utakayowaona Waumini wa kiume na Waumini wa kike,"

Siku utakayowaona Waumini wa kiume na Waumini wa kike, nuru zao zinakimbilia mbele yao na kuliani kwao; (wataambiwa): Bishara njema kwenu leo! Ya pepo zipitazo chini yake mito, ni wenye kukaa humo milele. Huko ndiko kufuzu kukubwa

47
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Shiriki