Hawa wagomvi wawili walio gombana kwa ajili ya Mola wao Mlezi."
Hawa wagomvi wawili walio gombana kwa ajili ya Mola wao Mlezi. Basi walio kufuru watakatiwa nguo za moto, na yatamiminwa juu ya vichwa vyao maji yanayo chemka
Kwa maji hayo vitayayushwa viliomo matumboni mwao, na ngozi zao pia
Na kwa ajili yao yatakuwapo marungu ya chuma
Kila wakitaka kutoka humo kwasababu ya uchungu watarudishwa humo humo, na wataambiwa: Onjeni adhabu ya kuungua!
580
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo