Watasema waliomshirikisha Allah kwamba: Lau kama angetaka Allah."
Watasema waliomshirikisha Allah kwamba: Lau kama angetaka Allah tusingefanya ushirikina sisi wala baba zetu, na tusingeharamisha kitu chochote. Kama hivyo walipinga waliokuwepo kabla yao mpaka wakaonja adhabu yetu. Sema (uwaulize): Je, mnayo elimu (ushahidi na hoja) yoyote ya hilo mtutolee (mtuoneshe)? Hamna chochote mkifuatacho isipokuwa dhana tu, na hamkuwa nyinyi ila mnaropoka tu
61
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo